Maiti ya Mwanaume anayekadirikiwa kuwa na Umri kati ya miaka 25-35,
imeokotwa asubuhi ya leo katika Mfereji wa Maji uliopo jirani na
kiwanda cha kukoboa Kahawa (Coffee Curing), maeneo ya Majengo Fire,
wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya wananchi wakishangaa maiti ya mwanaume huyo (haupo pichani) ambaye
jina lake na wapi na chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana
Huu ndio mfereji ambako mwili wa mtu asiyejulikana ulikokutwa
leo asubuhi
tunaomba taarifa jeshi la polisi please
ReplyDelete